• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali ya Ethiopia yatishia kuchukua hatua za kisheria dhidi ya makundi ya uchochezi

    (GMT+08:00) 2019-04-09 08:52:37

    Baraza la Usalama wa Taifa la Ethiopia limeonya kuwa litachukua hatua za kisheria dhidi ya makundi ya uchochezi kwa kosa la kuvuruga usalama wa nchi hiyo.

    Baraza hilo, ambalo lilikutana kwa kikao cha dharura jana kufuatia mapigano yaliyotokea hivi karibuni mkoani Amhara, limesema katika taarifa yake kuwa, serikali iko tayari kuchukua hatua sahihi za kisheria na kiusalama ili kudumisha utawala wa sheria dhidi ya vitisho vinavyotokana na makundi ya uharibifu yanayotaka kuvuruga usalama wa nchi.

    Hata hivyo, baraza hilo halikuweza wazi makundi hayo ambayo yanahusika na mapigano makali yaliyotokea hivi karibuni kwenye mkoa wa Amhara, wala halikuweza wazi idadi ya vifo vilivyotokana na mapigano hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako