• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa China awasili Brussels na kuhudhuria mkutano wa viongozi wa China na Umoja wa Ulaya

    (GMT+08:00) 2019-04-09 09:26:28

    Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang jana aliwasili Brussels na kuhudhuria mkutano wa 21 kati ya viongozi wa China na Umoja wa Ulaya.

    Bw. Li Keqiang amesema, China na Ulaya ni nguvu muhimu na masoko mawili makubwa kwenye jukwaa la kimataifa, na pia ni washirika muhimu wa ushirikiano kwa upande mwingine. Ameongeza kuwa China inatarajia kwamba pande hizo mbili zitafikia makubaliano kuhusu ushirikiano halisi na kupata maendeleo makubwa katika mazungumzo ya makubaliano ya uwekezaji, ili kuimarisha uhusiano wa kimkakati kati ya China na Umoja wa Ulaya na kuendeleza uhusiano wao kuelekea kwenye ngazi ya juu zaidi, maeneo mapana zaidi na kwa kina zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako