• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri Mkuu wa China atuma salamu za pongezi kwa maonyesho ya 22 ya kimataifa ya uchumi ya Mostar

    (GMT+08:00) 2019-04-09 20:48:17

    Waziri Mkuu wa China Bw. Li Keqiang ametuma salamu za pongezi kwa maonyesho ya 22 ya kimataifa ya uchumi ya Mostar, yaliyofunguliwa leo mjini Mostar nchini Bosnia na Herzegovina.

    Kwenye salamu zake waziri mkuu Li amesema uhusiano kati ya China na nchi za kati na mashariki ya Ulaya (CEEC) ikiwa ni pamoja na Bosnia na Herzegovina, umekuwa na mwelekeo mzuri kwa muda mrefu, na pande hizo mbili zimeingia kwenye ushirikiano wa kunufaishana kupitia majukwaa mbalimbali kama vile ushirikiano kati ya China na CEEC.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako