• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watoto milioni 175 hawajaandikishwa kwenye shule ya chekechea

    (GMT+08:00) 2019-04-10 09:06:34

    Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF limesema watoto zaidi ya milioni 175, karibu nusu ya watoto wanaotimiza umri wa elimu ya awali duniani hawaandikishwi katika shule za chekechea. Katika nchi zenye kipato cha chini, hali hii ni mbaya zaidi na ni mtoto mmoja kati ya watano ndio wamesoma katika shule ya chekechea. Mkurugenzi mtendaji wa UNICEF Henrietta Fore amesema elimu ya chekechea ni msingi wa elimu ya watoto, na mafanikio yake yanategemewa na kila kipindi cha elimu baadaye.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako