• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Kufuzu Olimpiki 2020 Tokyo Japan: Twiga Stars yaaga mashindano.

  (GMT+08:00) 2019-04-10 09:40:02
  Timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania (Twiga Stars) imeaga mashindano ya kufuzu michuano ya Olimpiki yam waka 2020 yatakayofanyika katika jiji la Tokyo nchini Japan.

  Tanzania imefungwa na wenyeji wao, timu ya taifa ya DRC (the Leopards) katika mchezo wa maruadiano raundi ya kwanza, mchezo uliochezwa uwanja wa Martyrs de la Pentecoste jijini Kinshasa. Kwa matokeo hayo, Tanzania inatolewa kwa jumla ya mabao 3-2 baada ya kulazimishwa sare ya 2-2 Ijumaa iliyopita katika mchezo wa kwanza uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako