• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 21 wauawa katika shambulizi la risasi kaskazini mwa Nigeria

    (GMT+08:00) 2019-04-10 09:45:34

    Polisi nchini Nigeria imethibitisha kuwa watu 21 wameuawa katika shambulizi lililofanywa na watu wasiojulikana waliokuwa na silaha katika jimbo la Kaduna, kaskazini mwa nchi hiyo.

    Msemaji wa polisi wa jimbo hilo Yakubu Sabo amesema, watu wengine watatu wamejeruhiwa na nyumba 10 kuchomwa moto katika shambulizi hilo lililotokea kwenye vijiji vya Ungwan Aku na Banono, vilivyoko eneo la Kajuru, pia washambuliaji hao wameiba ngo'mbe 50.

    Amesema uchunguzi wa shambulizi hilo umeanza.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako