• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • EAC kuondoa vikwzo zaidi ili kurahisisha biashara

    (GMT+08:00) 2019-04-10 19:45:19
    Jumuiya ya Afrika Mashariki imeanza kuchukua hatua mpya za kuondoa vikwazo vinavyolemaza biashara kwenye kanda hiyo.

    Chini ya mpango wa hatua hizo wataalam 200 kutoka nchi wanachama watapokea mafunzo kuhusu njia bora zaidi za kuondoa vizuizi vya biashara.

    Mpango huo utaendeshwa na baraza la wafanyabiashara wa Afrika Mashariki kwa ushirikiano na kituo cha biashara cha kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako