• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania yathibitisha kutokea kwa mlipuko wa homa ya Dengue

    (GMT+08:00) 2019-04-11 19:28:17

    Tanzania imethibitisha kutokea kwa mlipuko kwa homa ya Dengue mjini Dar es salaam, na kusema watu 252 wameripotiwa kuambukizwa.

    Naibu waziri wa afya Bw. Faustine Ndungulile amethibitisha kuwa mlipuko pia umeripotiwa mkoani Tanga, ambako watu 55 wamethibitishwa kuambukizwa. Akiongea na wanahabari mjini Dodoma, Naibu waziri Bw. Ndungulile amesema mamlaka za afya zinaendelea kufuatilia ugonjwa huo katika nchi nzima.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako