• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Serikali ya Tanzania kuanzisha makumbusho ya wanamichezo

  (GMT+08:00) 2019-04-12 07:54:46
  Serikali ya Tanzania imejipanga kuanzisha makumbusho maalum katika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam ya kuhifadhi taarifa na picha za wanamichezo walioliletea taifa hilo heshima katika mashindano mbalimbali ya kimataifa.

  Hayo yamesemwa bungeni mjini Dodoma na naibu waziri wa habari utamaduni sanaa na michezo Juliana Shonza, amebainisha kuwa, serikali hiyo inawatambua na kuwaenzi wanamichezo wote ambao wamepeperusha vyema bendera ya taifa hilo kwenye mashindano mbalimbali ya kimataifa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako