• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • RAGA: Shujaa itang'aa michuano ya Singapore, kocha awatoa matumaini

  (GMT+08:00) 2019-04-12 07:56:42

  Kocha wa timu ya taifa ya Raga ya Kenya ya wachezaji 7 kila upande (Shujaa) Paul Murunga amesema ana matumaini na kikosi cha timu hiyo na kwamba kikosi chake kitafanya vizuri katika michuano ijayo ya raga ya dunia itakayofanyika jijini Singapore, Malaysia mwishoni mwa wiki hii.

  Shujaa imepangwa katika Kundi C na Uingereza, Wales na Marekani ambayo kwa sasa inanolewa na aliyekuwa mkufunzi wa Shujaa, Mike Friday.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako