• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • RAGA: Michuano ya Raga ya wachezaji 7 kila Upande jijini London, Shujaa uso kwa uso na Fiji na Samoa

  (GMT+08:00) 2019-04-16 07:50:04

  Droo ya tisa ya michuano ya mchezo wa raga itakayofanyika jijini London nchini Uingereza imefanyika nchini Singapore huku Kenya imepangwa kundi B pamoja na Fiji, Samoa na Ufaransa. Michuano hiyo itapigwa Mei 25 na 26 mwaka huu.

  Kundi A kina timu za Afrika Kusini, Argentina, Canada na Japan. Kundi C lina timu za New Zealand, Scotland na timu alikwa, huku kundi D lina timu za Marekani, Australia, Wales na Uhispania.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako