• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • RIADHA: Mbio za Boston- Kenya ileeee, inaendelea kuwa juu

  (GMT+08:00) 2019-04-16 09:19:08

  Mwanariadha wa Kenya Lawrence Cherono ametwaa taji la mbio za Boston zilizofanyika nchini Marekani, Cherono amempiku Lelisa Desina wa Ethiopia akitumia saa 2:07:57, nafasi ya tatu, nne na tano zimetwaliwa na Wakenya wengine.

  Kwa upande wa akina dada, malkia wa riadha wa dunia mwaka 2011 na 2013 Edna Kiplagat wa Kenya alikuwa anatafuta kurejesha taji la Boston aliloshinda mwaka 2017 lakini amejikuta akiambulia nafasi ya pili nyuma ya Muethiopia Worknesh Degefa aliyeshinda mbio hizo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako