• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mnara wa kanisa la Notre Dame mjini Paris waanguka kufuatia ajali ya moto

    (GMT+08:00) 2019-04-16 09:22:19

    Mnara wa Kanisa la Notre Dame lililoko katikati ya jiji la Paris nchini Ufaransa umeanguka kufuatia moto mkubwa uliotokea jana mchana.

    Vyombo vya habari nchini humo vimesema, moto huo ulizuka majira ya saa kumi na moja jioni kwa saa za huko, na huenda ulitokana na ukarabati unaoendelea katika kanisa hilo la kale, ambalo ni moja ya vivutio vya utalii mjini Paris.

    Mpaka sasa hakuna taarifa za vifo ama majeruhi vilivyotokana na ajali hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako