• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Cameroon yakamata dawa na mafuta yaliyosafirishwa kwa magendo

    (GMT+08:00) 2019-04-16 10:01:40

    Idara ya forodha ya Cameroon imekamata tani kadhaa za dawa na mafuta yaliyosafirishwa kwa magendo mjini Douala, katika operesheni yake mpya ya kuzuia wimbi la kuingia kwa dawa na bidhaa "hatari na haramu kutoka nje ya nchi" nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako