• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkuu wa jeshi la Algeria atoa wito wa kupata njia haraka na salama ya kushughulikia msukosuko wa kisiasa

    (GMT+08:00) 2019-04-17 08:58:14

    Mkuu wa jeshi na naibu waziri wa ulinzi wa Algeria Ahmed Gaid Salah ametoa wito wa kutafuta njia ya haraka na salama ili kushughulikia msukosuko wa kisiasa unaoikumba nchi hiyo kufuatia maandamano ya umma. Gaid Salah ametoa ahadi hiyo alipozungumza na askari na maofisa wa jeshi, ameongeza kuwa kupata ustawi kunahitaji uvumilivu, maelewano na kukataa aina zote za mabavu ili kuepuka kuvuruga kazi za taasisi za serikali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako