• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bunga la Ulaya lasema maudhui ya ugaidi mtandaoni yanapaswa kufutwa ndani ya saa moja

    (GMT+08:00) 2019-04-18 08:58:59

    Bunge la Ulaya limepitisha muswada unaozitaka kampuni za internet kufuta maudhui ya ugaidi ndani ya saa moja baada ya kupata agizo kutoka kwa mamlaka husika ili kupambana na itikadi kali na kulinda usalama wa umma. Lakini kwa mujibu wa muswada huo, kampuni hizo haziwajibiki na usimamizi wa taarifa zinazosambaza au kuhifadhi, wala kutafuta shughuli haramu mtandaoni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako