• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kim Jong Un kukutana na Rais Putin nchini Russia mwezi Aprili

    (GMT+08:00) 2019-04-18 21:10:48

    Ikulu ya Russia imetangaza kuwa kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Joing Un, atafanya ziara nchini Russia katika nusu ya pili ya mwezi huu, na kukutana na Rais Vladmir Putin. Ziara hiyo inatokana na mwaliko wa wa upande wa Russia. Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa viongozi hao kukutana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako