• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Karibu watu 104 wameripotiwa kufariki dunia kwenye ajali ya boti iliyotokea nchini DRC

  (GMT+08:00) 2019-04-19 20:46:13

  Watu 104 wanaripotiwa kufariki dunia kwenye ajali ya boti iliyotokea jumatatu usiku katika Ziwa Kivu, lililopo katika jimbo la Kivu Kusini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  Akitembelea eneo la ajali Rais wa nchi hiyo Felix Tshisekedi amekutana na mamlaka za huko na familia za wahanga, na kuwataka maofisa wa huko kuchukua hatua za kisheria kwa waliohusika na ajali hiyo na kuahidi serikali itajitahidi kuboresha miundo mbinu ili kuhakikisha usalama wa wasafiri.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako