• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kampuni za Kichina zaandiksiha faida kubwa

    (GMT+08:00) 2019-04-23 18:30:40
    Kampuni za ujenzi za Kichina zilizoko nchini Uganda zinaendelea kuandikisha faida kwa maiak 20 iliyopita. Zikiwa zimepiku kampuni zingine za kimataifa zilizoko nchini humo, kampuni hizi za kichina zimeandiksisha dola bilioni 8.7 kwa kipindi cha miaka 20 iliyopita. Hii ni kulingana na data ya China Africa Research Initiative. Huneda kuongezeka kwa mapato haya kunajiri baada ya uhusiano mwema wa kibiashara uliopo kati ya serikali ya China na ile ya Uganda. Baadhi ya kampuni za kichina zinazofanya vyema nchini Uganda ni China Communications Construction Comapnay, ambayo inatengeneza barabara ya Kampala kwenda Entebbe. Kampuni nyingine ni ile ya China Railway 17th Bureau group ambayo inatarajiwa kuanza ujenzi wa barabara kuu ya Kampala kwenda Jinja. Kampuni hizi vile vile zimekuwa zikitoa ajira kwa Waganda wengi.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako