• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China itaongeza kwa kiasi kikubwa kuingiza bidhaa na huduma

  (GMT+08:00) 2019-04-26 10:34:42

  Rais Xi Jinping leo amesema, China itapunguza zaidi kiwango cha ushuru forodhani, kuondoa vikwazo mbalimbali vya ushuru usio wa forodha, kufungua mlango wa soko la China, na kukaribisha bidhaa zenye sifa ya juu kutoka nchi mbalimbali duniani.

  Rais Xi amesisitiza kuwa, China haitakusudia kutafuta urari wa biashara, na inapenda kuagiza mazao ya kilimo yenye sifa bora tena yenye nguvu ya ushindani kutoka nje, pamoja na bidhaa zilizotengenezwa na mazao hayo na huduma husika, ili kuhimizkla maendeleo ya uwiano ya biashara.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako