• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China itapanua ruhusa kwa soko la mitaji ya nje kuingia kwenye sekta nyingi zaidi

  (GMT+08:00) 2019-04-26 10:38:18

  Rais Xi Jinping leo amesema, siku za baadaye China itaendelea kupunguza kwa kiasi kikubwa orodha za sekta zisizoruhusiwa kuingiwa kwa uwekezaji wa nchi za nje, na itahimiza shughuli za huduma za kisasa, viwanda vya utengenezaji na kazi za kilimo zifungulie mlango kwa nje kwenye kazi zote, na itaruhusu hisa za sekta nyingi zidhibitiwe na mitaji kutoka nje au kuendeshwa na wawekezaji peke yao kutoka nje.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako