• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa China atoa mapendekezo matatu kuhusu maendeleo yenye sifa nzuri ya "Ukanda Mmoja, Njia Moja"

  (GMT+08:00) 2019-04-26 10:47:07

  Rais Xi Jinping wa China ametoa mapendekezo matatu ili kuhimiza maendeleo yenye sifa nzuri ya ujenzi wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja"alipohutubia mkutano wa pili wa kilele wa ushirikiano wa kimataifa wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja".

  Mapendekezo hayo ni pamoja na kufuata kanuni ya kujadiliana, kujenga kwa pamoja na kunufaishana, kushikilia mawazo ya kufungua mlango, kutoleta uchafuzi wa mazingira na kupambana na ufisadi, na kujitahidi kutimiza malengo endelevu ya vigezo vya juu na ya kunufaisha watu.

  Rais Xi pia amesisitiza umuhimu wa kufungua mlango, kupambana na ufisadi, kuheshimu utaratibu wa kimataifa na sheria za nchi husika, na kuhakikisha maendeleo endelevu ya mambo ya biashara na fedha, katika kuhimiza maendeleo yenye sifa nzuri ya "Ukanda Mmoja, Njia Moja".

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako