• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China kutekeleza hatua kubwa za mageuzi ili kuhimiza kufungua mlango zaidi

  (GMT+08:00) 2019-04-26 10:47:07

  Rais Xi Jinping wa China amesema, China itachukua hatua kadhaa muhimu za mageuzi na kufungua mlango, na kuimarisha mipango ya sera na muundo, ili kufungua mlango zaidi kwa nje.

  Hatua hizo ni pamoja na kuongeza sekta zinazoruhusu uwekezaji wa nje, kuimarisha ushirikiano wa kimataifa katika kulinda hakimiliki za kiubunifu, kuongeza ununuzi wa bidhaa kutoka nchi za nje, kufanya uratibu wa kimataifa wa sera za kiuchumi kwa ufanisi zaidi, na kutilia maanani zaidi utekelezaji wa sera za kufungua mlango.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako