• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China kutilia maanani zaidi utekelezaji wa sera ya kufungua mlango

  (GMT+08:00) 2019-04-26 10:47:07

  Rais Xi Jinping wa China amesema, China inatilia maanani sana makubaliano kati yake na nchi mbalimbali kuhusu uchumi na biashara, na itaimarisha ujenzi wa serikali inayofanya kazi kwa uaminifu na kwa kufuata sheria, na kujenga utaratibu wenye usimamizi wa utekelezaji wa makubaliano ya kimataifa. Pia kurekebisha sheria kutokana na mahitaji ya kufungua mlango, kusanifu vitendo vya serikali za ngazi mbalimbali, kuondoa ruzuku zisizo sahihi, kutendea kampuni zote kwa haki, na kuanzisha mazingira mazuri ya kibiashara.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako