• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China kuruhusu zaidi soko la mitaji ya nje kuingia kwenye sekta nyingi

  (GMT+08:00) 2019-04-26 10:47:07

  Rais Xi Jinping leo amesema, siku za baadaye China itaendelea kupunguza kwa kiasi kikubwa orodha ya bidhaa zisizoruhusiwa kuingizwa. Amesema China itahimiza shughuli za huduma za kisasa, viwanda vya utengenezaji na kazi za kilimo zifungue mlango kwa nje kwenye kazi zote, na itaruhusu hisa za sekta nyingi zidhibitiwe na mitaji kutoka nje au kuendeshwa na wawekezaji kutoka nje peke yao.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako