• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kujenga uhusiano wa kiwenzi wa kuwasiliana na kushirikiana duniani ni muhimu wa kujenda pamoja "Ukanda mmoja na Njia moja"

  (GMT+08:00) 2019-04-26 10:47:07

  Rais Xi Jinping amesema, kazi muhimu ya kujenga kwa pamoja "Ukanda Mmoja na Njia Moja" ni kujenga uhusiano wa kiwenzi wa kuwasiliana na kushirikiana ili kutimiza maendeleo na ustawi kwa pamoja.

  Amesema China itaendelea na juhudi pamoja na pande mbalimbali katika kujenga ukanda wa uchumi kwenye msingi wa daraja la bara la Asia na Ulaya, kuwasiliana na kushirikiana kwa kutegemea reli, bandari na mtandao kati ya China na Ulaya, njia mpya ya nchi kavu na baharini na miunbo mbinu bora ya upashanaji habari, reli, bandari na mtandao wa mabomba.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako