• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China itasaini mikataba yenye kigezo cha juu kuhusu biashara huria na nchi nyingi zaidi

  (GMT+08:00) 2019-04-26 10:52:28

  Rais Xi Jinping wa China leo amesema, China itasaini mikataba yenye kigezo cha juu kuhusu biashara huria na nchi nyingi zaidi, kuimarisha ushirikiano katika forodha, ushuru, usimamizi wa kudhibitisha uhasibu na sekta nyingine, kuanzisha mfumo wa ushirikiano wa kutoza na kusimamia kodi wa "Ukanda Mmoja, Njia Moja", kuharakisha ushirikiano wa kutambuliana "wafanyabiashara waliosajiriwa", kujenga njia ya hariri ya kidigitali na njia ya hariri kwa kutegemea uvumbuzi wa kiteknolojia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako