• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Maendeleo yasiyo ya uwiano ni tatizo kubwa zaidi ya hali isiyo ya uwiano duniani kwa hivi sasa

  (GMT+08:00) 2019-04-26 10:53:05

  Rais Xi Jinping amesema, maendeleo yasiyo ya uwiano kati ya nchi mbalimbali ni tatizo kubwa la hali isiyo uwiano duniani kwa hivi sasa. Pande zote zinazojenga "Ukanda Mmoja na Njia Moja" zinapaswa zifungamanishe wazo la kupata maendeleo endelevu na kazi za kuchagua miradi, kuzitekeleza na kusimamia, kutilia maanani ushirikiano katika maendeleo ya kimataifa, kutoa fursa na nafasi zaidi kwa nchi zinazoendelea ili kuzisaidia kujitoa kutoka hali ya umaskini na kutimiza maendeleo endelevu. Pia zinapaswa kuongeza ushirikiano na Umoja wa Mataifa katika maendeleo ya kazi na kupungua tofauti ya maendeleo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako