• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi Jinping wa China atoa mwito wa kuzitaka nchi mbalimbali kutoa mazingira ya usawa na kirafiki kwa ajili ya mawasiliano ya kimataifa

  (GMT+08:00) 2019-04-26 10:58:14

  Rais Xi Jinping wa China leo amesema, hatua ya kupanua kufungua mlango ya China ni chaguo la kujiamulia la China kwa ajili ya mahitaji yake ya maendeleo na kufanya mageuzi. Ametoa mwito wa kuzitaka nchi mbalimbali ziweke mazingira mazuri ya uwekezaji, kutendea makampuni ya China, wanafunzi na wasomi wake kwa usawa, na kutoa mazingira ya usawa na kirafiki kwa watu hao kufanya ushirikiano na maingiliano ya kimataifa.

  Rais Xi Jinping amesema, China inayofungua mlango zaidi itashirikiana zaidi na dunia, ili kuleta maendeleo na ustawi zaidi kwa China na dunia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako