• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mkutano wa 2 wa Baraza la BRI wafunguliwa

  (GMT+08:00) 2019-04-27 10:03:45

  Ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa Baraza la wakuu la ushirikiano wa kimataifa wa "Ukandka mmoja, Njia moja" umefanyika leo hapa Beijing,

  "Ukanda mmoja, Njia moja" ni pendekezo lililotolewa na Xi Jinping wa China kuhusu ushirikiano wa kimataifa katika mambo ya uchumi. Katika miaka 6 iliyopita, thamani ya jumla ya biashara kati ya China na nchi zinazojenga pamoja "Ukanda mmoja, Njia moja" imezidi dola za kimarekani trilioni 6, na uwekezaji wa vitega uchumi umezidi dola za kimarekani bilioni 80, na miradi husika ya ushirikiano imeleta nafasi za ajira karibu laki 3 kwa ajili ya nchi husika.

  Mkutano huu wa baraza hili utafanyika kwa siku tatu, kaulimbiu yake ni "Tujenge pamoja 'Ukanda mmoja, Njia moja', na kujenga siku nzuri za baadaye".

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako