• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Makubaliano yafikiwa kwenye vipengele 283 wakati wa mkutano wa pili wa "Ukanda mmoja, Njia moja"

  (GMT+08:00) 2019-04-27 19:51:56

  Leo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika hapa Beijing, Rais Xi Jinping wa China amesema, jumla ya vipengele 283 vya matokeo ya kiutendaji vimefikiwa makubaliano kwenye mchakato kuanzia maandalizi na wakati wa mkutano wa pili wa baraza la kimataifa la ushirikiano wa "Ukanda mmoja, Njia moja".

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako