• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China apendekeza kujenga kwa pamoja "maskani mazuri ya binadamu duniani"

    (GMT+08:00) 2019-04-28 17:59:14

    Maonyesho ya kimataifa ya kilimo cha maua ya mwaka 2019 yatafanyika hapa Beijing, na kushirikiwa na nchi 86 na mashirika 24 ya kimataifa. Rais Xi Jinping wa China kwa nyakati tofauti alifafanua sera ya China ya kujiendeleza bila kuchafua mazingira, na kutoa kipaumbele katika kuhifadhi mfumo wa ikolojia, na kueleza nia ya China ya kushirikiana nchi mbalimbali kujenga kwa pamoja "maskani mazuri ya binadamu duniani".

    1. Rais Xi Jinping wa China apendekeza kujenga kwa pamoja "Maskani mazuri ya binadamu duniani".

    2. "Kushirikiana katika kujenga kwa pamoja dunia yenye mazingira mazuri"—barua ya pongezi ya rais Xi kwa mkutano wa mwaka 2013 wa Baraza la kimataifa la ustaarabu wa kiikolojia la Guiyang.

    3. "Maji safi na milima ya kijani ndio ni hazina kubwa"—hotuba aliyoitoa rais Xi katika chuo kikuu cha Nazarbayev cha Kazakhstan katika Tarehe 7 Septemba, mwaka 2013

    4. "Kufuata njia ya maendeleo endelevu yanayosababisha utoaji kidogo wa hewa ya ukaa"—hotuba ya rais Xi Jinping kwenye mjadala wa Kikao cha 70 cha Baraza kuu la Umoja wa Mataifa, tarehe 28 Spetemba, mwaka 2015

    5. "Kuanzisha muundo mpya wa ujenzi wa kisasa wenye masikilizano kati ya binadamu na maumbile"—hotuba ya rais Xi Jinping katika ufunguzi wa mkutano wa mabadiliko ya hali ya hewa ya Paris, tarehe 30 Novemba mwaka 2015

    6. "Kuboresha mazingira ndio ni kuendeleza tija ya uzalishaji"—hotuba ya rais Xi Jinping kwenye ufunguzi wa mkutano wa kilele wa viwanda na biashara wa kundi la nchi 20, tarehe 9 Septemba, mwaka 2016

    7. "Tunapendekeza njia za maisha na uzalishaji usiochafua mazingira"—hotuba ya rais Xi Jinping kwenye mkutano wa ngazi ya juu ya "kujadili kujenga jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja " mjini Geneva, tarehe 18 Januari mwaka 2017

    8. "Kujenga kwa pamoja dunia safi na inayopendeza"—barua ya pongezi ya rais Xi Jinping kwa mkutano wa mwaka 2018 wa Baraza la kimataifa la ustaarabu wa kiikolojia la Guiyang, tarehe 7 Julai, mwaka 2018

    9. "Kupanga kwa pamoja ujenzi wa ustaarabu wa kiikolojia duniani"—hotuba ya rais Xi Jinping kwenye mkutano wa uhifadhi wa mazingira wa China, mwezi Mei, mwaka 2018

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako