• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maonyesho ya kimataifa ya kilimo cha maua yafunguliwa leo Beijing

    (GMT+08:00) 2019-04-28 20:59:13

    Maonyesho ya kimataifa ya kilimo cha maua ya mwaka 2019 yamefunguliwa leo hapa Beijing, ambapo rais Xi Jinping amehutubia ufunguzi wa maonyesho hayo.

    Viongozi na wajumbe maalumu kutoka nchi 11, wakurugenzi wa mashirika ya kimataifa, wadau wa viwanda na biashara, wataalamu maalumu wa kilimo cha maua wapatao 900 wamehudhuria ufunguzi wa maonyesho hayo. Kabla ya kuhudhuria ufunguzi, rais Xi Jinping wa China na viongozi wa nchi mbalimbali walitembelea jumba la China la maonyesho hayo.

    Maonyesho hayo yatafanyika kwa muda wa siku 162, na nchi na mashirika ya kimataifa 110 yatashiriki kwenye maonyesho hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako