• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi asema Ukanda mmoja, Njia Moja ni lazima uwe "njia wazi ya maendeleo yasiyosababisha uchafuzi"

  (GMT+08:00) 2019-04-28 21:12:08

  Rais Xi Jinping wa China amesema maendeleo ya pamoja ya "ukanda mmoja, njia moja", yanatakiwa kujengwa kwenye njia wazi ya maendeleo, ambayo pia inatakiwa kuwa njia ya maendeleo isiyosababisha uchafuzi.

  Akiongea kwenye ufunguzi wa maonesho ya kimataifa ya kilimo cha maua ya Beijing, Rais Xi amesema hayo ni mambo muhimu yaliyofikiwa kwenye mkutano wa pili wa kilele wa Baraza la "ukanda mmoja, njia moja" uliofungwa jana hapa Beijing.

  Amesema China iko tayari kufanya kazi na nchi nyingine duniani kuifanya dunia iwe maskani mazuri kwa binadamu na kujenga dunia yenye mustakbali wa pamoja.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako