• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: AFCON U-17- Cameroon mabingwa wapya wa AFCON 2019

  (GMT+08:00) 2019-04-29 08:02:36

  Timu ya taifa ya Cameroon imetwaa ubingwa wa fainali za mataifa ya Afrika kwa vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 baada ya kuifunga Guinea kwa mikwaju ya penalti 5-3 kwenye mchezo wa fainali uliopigwa uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam Tanzania.

  Katika mchezo huo ambao ndio umekamilisha mashindano hayo, ulishuhudia timu hizo zikimaliza dakika 90 ya mchezo bila kufungana ndipo mikwaju ya penlati ilipotumika. Hii ni mara ya pili kwa Cameroon kutwaa ubingwa wa kombe hilo. Mchezaji wa Cameroon Steve Mvoue amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mashindano hayo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako