• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Ligi kuu Tanzania Bara-Simba yazidi kupunguza pointi na kumsogelea Yanga, leo nyasi kuwaka moto Yanga vs Azam

    (GMT+08:00) 2019-04-29 08:05:52

    Simba ya Dar es Salaam imeendelea kupunguza pengo la alama na watani zao wa jadi Yanga hivyo kuusogelea ubingwa ikibakisha alama 24 tu baada ya Jumamosi kuifunga 2-0 Biashara United ya Musoma.

    Ikiwa sasa imebakiza alama 5 tu kuweza kumfikia Yanga ambaye leo nyasi zitawaka moto itakapovaana na Azam FC, huku kila moja ikihitaji ushindi katika mchezo huo.

    Biashara imeshacheza michezo 15 kwenye uwanja wake wa nyumbani na kushinda michezo sita, imetoka sare michezo saba na kupoteza miwili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako