• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi na viongozi wa nchi za nje watembelea Beijing Expo

    (GMT+08:00) 2019-04-29 16:58:03

    Rais Xi Jinping wa China na mke wake Bibi Peng Liyuan wakiambatana na viongozi wa nchi za nje, wametembelea Maonyesho ya kimataifa ya kilimo cha maua ya mwaka 2019 yanayofanyika wilayani Yanqing, kaskazini mwa mji wa Beijing.

    Wageni hao waliokuja kushiriki kwenye Maonyesho hayo walipokelewa na rais Xi pamoja na mke wake kwenye Jumba la China, na kufahamishwa mimea ya kipekee na usanii wa bustani kutoka kwenye maeneo tofauti.

    Rais Xi amesema Jumba la China si kama tu linaonyesha usanii wa kilimo cha bustani, bali pia linaeleza matumaini ya China katika kutafuta maisha yasiyosababisha uchafuzi na kuchangia fursa za maendeleo za nchi nyingine.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako