• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping asema uzalendo ni wajibu kwa kila mchina

    (GMT+08:00) 2019-04-30 11:03:23

    Mkutano wa kuadhimisha miaka 100 ya Vuguvugu la Mei 4 umefanyika leo hapa Beijing. Akihutubia mkutano huo, rais Xi Jinping wa China amesema uzalendo ni kiini cha Moyo wa Mei 4, na pia ni kiini cha roho ya taifa la China. Vuguvugu la Mei 4 limewadhihirishia wachina kuwa maendeleo ya nchi, ustawi wa taifa na maisha bora ya watu vinapatikana tu kwa kujitegemea.

    Rais Xi amesema uzalendo ni wajibu kwa kila mchina, haswa kwa vijana wa China katika zama mpya. Amewataka vijana wa China washikilie uongozi wa Chama cha kikomunisti cha China na kufanya kila juhudi kwa ajili ya kutimiza ndoto ya kustawisha upya taifa la China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako