• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kiongozi wa juu wa kundi la IS atoa video kwenye mtandao

  (GMT+08:00) 2019-04-30 19:25:02

  Kiongozi wa juu wa kundi la IS Abu Bakr al-Baghdadi ametoa video yake ya dakika 18 kwenye mtandao na kutambua kushindwa kwa wapiganaji wake katika wilaya ya al-Baghouz, Syria na kupongeza mashambulizi ya mabomu nchini Sri Lanka.

  Bw. Baghdadi amesema ingawa mapambano ya al-Baghouz yamesitishwa, lakini yameonesha uharibifu na ukatili wa nchi za magharibi dhidi ya jumuiya ya waislamu. Ameahidi kuwa mapambano yataendelea kwa muda mrefu. Pia amesema, mashambulizi ya mabomu nchini Sri Lanka ni mapambano ya kulipiza kisasi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako