• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ligi kuu Tanzania Bara (TPL) Simba yabadilisha matokeo dakika za majeruhi

  (GMT+08:00) 2019-05-01 10:38:19

  Timu ya Simba ya Dar es Salaam imepata bao katika dakiak za lala salama na kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya JKT Tanzania kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam jana katika mchezo wake wa viporo vya ligi kuu Tanzania bara (TPL)

  Ushindi huo wa wekundu wa Msimbazi Simba, umewafikisha alama 72 ikiwa nyuma kwa alama 5 za watani wao wa Jadi Yanga yenye alama 77, bao hilo la Simba limefungwa na Hassan Dilunga dakika za majeruhi baada ya kupokea pasi safi toka kwa Emmanuel Okwi, na kuwaamsha mashabiki wa timu hiyo ambao walikuwa wamekwisha kata tamaa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako