• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Mapato ya samaki yapanda

    (GMT+08:00) 2019-05-02 18:47:30

    Thamani ya samaki wa humu nchini imepanda kwa asilimia 4.5 na kufikia shilingi bilioni 24 mwaka uliopita kutokana na kuongezeka kwa samaki. Kulingana na ripoti ya Shirika la Takwimu za Kitaifa, thamani ya samaki waliovuliwa ilipanda kutoka ni shilingi bilioni 22.95 mwaka 2017. Ufugaji wa samaki umeanza kukumbatiwa nchini Kenya na huenda idadi hii ikaimarika siku zijazo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako