• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Benki ya dunia yatoa mkopo wa nyumba kwa Kenya

    (GMT+08:00) 2019-05-02 20:04:27

    Benki ya dunia imeidhinisha mkopo wa dola milioni 250 ili kusaidia serikali ya Kenya kuanzisha mfuko wa kununua nyumba za bei nafuu.

    Serikali sasa kwa kutumia fedha hizo iytaanzisha shirika la mikopo ya nyumba. na kusaidia

    Shirika hilo litaanza oparesheni baadaye mwezi Juni hasa likilenga wakaazi wa kipato cha chini na kile cha watani.

    Kwenye muhula wake wa pili, rais wa Kenya Uhuru Kenyatta alitangaza ujenzi wa nyumba za makaazi 500,000 ndani ya miaka 5 ili kukabili upungufu uliopo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako