• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Klabu bingwa Ulaya- Picha limemalizika, Liverpool yatinga fainali, yaisubiri Ajax au Tottenham.

    (GMT+08:00) 2019-05-08 08:41:52

    Liverpool imekuwa timu ya kwanza kufuzu fainali za klabu bingwa Ulaya (UEFA Champions League) mwaka huu baada ya usiku wa kuamkia leo kuirarua Barcelona uwanjani kwao Anfield Uingereza kwa mabao 4-0

    Miamba hao wa soka wa Uhispania walitua jijini London kurudiana na Majogoo hao wa Anfield Liverpool katika mchuano wa mzunguko wa pili wa nusu fainali hiyo.

    Magoli ya Liverpool yamefungwa na straika mkenya Divock Origi aliyefungua karamu ya magoli dakika ya 7, huku Georginio Wijnaldum akifunga mabao 2 na Origi kumalizia goli la nne lililoizamisha miamba hiyo ya Uhispania.

    Mchezo wa kwanza, Barcelona waliwapiga Liverpool 3-0 katika uwanja wa Camp Nou wiki iliyopita, Liverpool imeiondosha Barca kwa jumla ya mabao 4-3 na sasa itakutana katika fainali kati ya Ajax au Tottehnam ambazo zinakutana leo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako