• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Soko la madini lafunguliwa Mbeya

    (GMT+08:00) 2019-05-08 20:53:01

    Mkoa wa Mbeya umefungua soko jingine la madini jijini hapa baada ya lile la kwanza kufunguliwa wilayani Chunya Mei 2, 2019.

    Akizungumza katika uzinduzi wa soko hilo Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amesema masoko hayo yatakuwa na tija kwa wachimbaji, wanunuzi na Serikali.

    Chalamila amesema ufunguaji masoko hayo unakusudia kupunguza au kuondoa kabisa tatizo la utoroshaji madini kwa kuunda kikosi kazi kitakachoshirikiana na mikoa jirani kukomesha tatizo hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako