• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Huawei yasisitiza tena imani yake kuwa mhasibu wake hana hatia

    (GMT+08:00) 2019-05-09 09:32:23

    Kampuni ya teknolojia ya China Huawei imesema kwenye taarifa kuwa ina imani kuwa mhasibu wake mkuu Bi. Meng Wanzhou hana hatia. Meng alikamatwa mjini Vancouver, Canada mwezi Disemba mwaka jana kufuatia ombi la Marekani la kumpelekea huko. Taarifa hiyo imetolewa baada ya kesi ya Meng kusikiliziwa mahakamani jana huko Vancouver. Imesema amri ya kukamatwa kwake iliyotolewa na Marekani ni kinyume na sheria na inatokana na madhumini ya kisiasa badala ya sheria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako