• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wizara ya mambo ya nje ya China yajibu hoja ya Marekani kukosoa pendekezo la "Ukanda Mmoja na Njia Moja'

    (GMT+08:00) 2019-05-09 19:48:36

    Kuhusu hoja inayokosoa pendekezo la "Ukanda Mmoja na Njia Moja" iliyotolewa na waziri wa mambo ya nje wa Marekani, msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang amesema, dunia itaweza kuona vizuri kuwa nani ni wanaoleta vurugu na nani ni wanaofanya mambo halisi.

    Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bw. Mike Pompeo amefanya ziara nchini Uingereza akisema, pendekezo la "Ukanda Mmoja na Njia Moja" la China linavuruga mamlaka ya nchi mbalimbali, na Marekani inaitaka Uingereza kuchukua tahadhari na kutoa sauti ya upinzani.

    Bw. Geng pia amesema, wajumbe zaidi ya elfu 6 kutoka nchi 150 na mashirika 92 ya kimataifa wameshiriki kwenye mkutano wa pili wa kilele baraza la ushirikiano wa kimataifa la "Ukanda Mmoja na Njia Moja", na hii ni kura ya imani na uungaji mkono iliyopigwa na jumuiya ya kimataifa kuhusu ujenzi wa pendekezo la "Ukanda Mmoja na Njia Moja", ambayo pia ni jibu zuri kwa kitendo na hoja ya Marekani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako