• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Walinzi watatu wauawa katika shambulizi dhidi ya hoteli mjini Gwadar, Pakistan

    (GMT+08:00) 2019-05-13 08:38:31

    Shambulizi lililotokea Jumamosi dhidi ya hoteli moja mjini Gwadar, Jimbo la Balochistan, kusini mwa Pakistan limesababisha vifo vya walinzi wawili wa hoteli na askari mmoja wa kikosi cha usalama, na wengine watatu walijeruhiwa. Washambuliaji wanne wote pia wameuawa kwa risasi. Waziri wa mambo ya ndani wa mkoa wa Balochistan, amesema hakukuwa na wageni katika hoteli hiyo wakati wa shambulizi. Kundi la kigaidi la Baloch Liberation Army BLA lililopigwa marufuku na serikali ya Pakistan, limetangaza kuwajibika na shambulizi hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako