• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wizara ya mambo ya nje ya UAE yasema meli nne za kibiashara zimeharibiwa kwa makusudi kwenye bahari yake

    (GMT+08:00) 2019-05-13 08:39:11

    Wizara ya mambo ya nje ya Umoja wa Falme za Kiarabu imetoa taarifa ikisema meli nne za kibiashara ziliharibiwa kwa makusudi Jumapili kwenye bahari yake, na idara husika za nchi hiyo zimechukua hatua zote za lazima na kushirikiana na mashirika ya ndani na ya kimataifa kufanya uchunguzi kuhusu tukio hilo. Taarifa imesema hakuna mtu yeyote aliyejeruhiwa au kufariki katika tukio hilo la hujuma, na wala halikusababisha kuvuja kwa mafuta au kemikali za sumu baharini. Taarifa hiyo imetoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuzuia vitendo kama hivyo vya kuharibu usalama wa usafiri wa baharini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako