• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mashambulizi ya waasi nchini Syria yasababisha vifo vya watu watano

    (GMT+08:00) 2019-05-13 10:06:15

    Vyombo vya habari vya Syria vimeripoti kuwa wapiganaji wa upinzani wamerusha maroketi katika mkoa wa Hamah, kaskazini mwa nchi hiyo na kusababisha vifo vya watu watano wakiwemo watoto wanne na mwanaume mmoja, na watoto wengine sita kujeruhiwa.

    Ripoti imeongeza kuwa wanajeshi wa serikali walijibu shambulizi hilo mara moja na kuharibu vituo na silaha za wapiganaji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako