• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya : Wafanyibiashara wa mitandaoni kutozwa ushuru.

    (GMT+08:00) 2019-05-13 18:16:55
    Halmashauri ya ukusanyaji ushuru nchini Kenya KRA, inalenga kuwatoza ushuru wote wanaofanya biashara kutumia mitandao ili kuwanasa wale wanaohepa kulipa ushuru. Kulingana na KRA, baadhi ya wafanyibiashara wakubwa mitandaoni hawajakuwa wakilipa ushuru wowote. Na sasa, wafanyibiashara wote mitandanoani wameonywa kuwa lazima wafuate sheria zilizopo. KRA tayari imesema kwamba imewekeza kwenye ujasusi wa kuwasaidia kuwatafuta wale wote watakaohepa kulipa ushuru. KRA iko mbioni kuafikia malengo yake ya kukusanya zaidi ya shilingi trilioni 6.1 ifikapo mwaka Juni mwaka wa 2012.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako